Kamati ya Miundo mbinu jana ilikumbwa na tafrani baada ya wajumbe wake kudaiwa kumshambulia kwa maneno makamu mwenyekiti wa kamati hiyo Anne Kilango wakidai amewasiliti.

Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba anna kilango alipeleka majungu kwa waandishi wa habari wa magazeti mawili kuwa serukamba ameagiza wasuse bajeti na kibaya zaidi alimpigia simu waziri mkuu saa 5 usiku akisema serukamaba ni mtu mbaya sana.

Alisema serukamba anatumiwa na Lowasa amezuiya tusipitishe bajaeti.

Taarifa zinabainisha zaidi kuwa wajumbe hao hawakufurahishwa na kitendo cha kilanago na kuanza kumshutumu kuwa mchochezi .

Chanzo: Habari leo tarehe 5/6/12