Hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu makadilio na matumizi ya ofisi ya Waziri mkuu Bungeni jana imewagusa wananchi wengi.Baadhi ya wananchi waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja,Wamekiri kuwa Mhe:Mbowe amegusa karibu matatizo yote yanayo wakabili wananchi wengi ambao ni maskini sana.Wananchi hao wamesema wamechoka kusikia kila siku mipango inapagwa lakini hatekelezwi.Hii ni changamoto kwa serikali kwani imekuwa kama mtani wa wananchi kama ilivyo kwa makabila mengi hapa nchini.Na wengine walidiriki kusema ''LA KUVUNDA HALINA UBANI"
By: Steven Kp
0 Maoni:
Post a Comment