Mkutano wa chama cha demokrasia na maendeleo katika picha, mkutano huo umefanyika baada ya ukuzuiwa kwa takribani siku nne kwasababu mbalimbali ikiwemo kunyimwa uwanja wa NMC na Leo umefanyika kwenye stand ndogo ya Nduruma karibu kabisa na hospitali ya Levolosi..
Ikumbukwe chama cha CUF juzi jumapili kilishindwa kufanya mkutano wake kwenye uwanja wa soko la Mbauda baada ya kukomea watu kumi na moja tu.
Kamanda Lema akiwa na Kamanda Joshua Nasari..
Kamanda Nasari akiongea na wakazi wa mjini Arusha...
Allly Bananga huyu ni kamanda aliyetokea kwa magamba anakuja kwa fujo sana kifupi nijembe...
Tanzania hakuna usalama wa taifa, kuna usalama wa majambazi
Wednesday, September 26, 2012
Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012
Imeandikwa 3:44 PM na Steven Elias
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Maoni:
Post a Comment