Tuesday, August 14, 2012

Afrika yapoteza utamaduni wa kufanya mazungumzo?

Vibanda katika baadhi ya vijiji vya Afrika.



Utaratibu wa kuyazungumza masuala yake vikaoni ulioanza chini ya miti na ambao ulifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kusuluhisha migogoro kabla haijageuka mapigano na vita sasa unapotea barani Afrika. Kwa nini?

Eric Ponda anazungumzia utamaduni huu ulijulikana sana na ulifanikiwa kwa kiasi kikubwa katika nchi nyingi za Afrika.

Chanzo:DW

0 Maoni:

Post a Comment