
Dr:Steven Ulimboka
Hivi ninavyoaandika yupo ICU akiwa katika hali mbaya hajitambui.Awali katikamaelezo yake alisema kwamba walikuja watu watatu waliovalia kiraia na kujitambulisha kuwa wao ni askari. Watu hao walimchukua na kumuingiza katika gari lisilokuwa na namba na kuanza kuelekea barabara ya Bagamoyo. Huko walimfunga kitambaa usoni, kamba mikononi na miguuni kisha wakampiga huku wakimwambia amekuwa akiwasumbua kwa muda mrefu na kama wangekuwa na sindano ya sumu wangemmaliza kabisa. No comments:
0 Maoni:
Post a Comment